Actualités Mingi
Mingi Wingi : réflexions autour des initiatives kinoises pour un monde durable
Wed, 17 Apr 2024 09:35:00 GMT
Les deux premiers jours de la rencontre initiée par l’ONG Coopération éducation culture (CEC) ont permis, au niveau de Kinshasa, de penser à de nouvelles perspectives de gestion de la ville partant de ...
Pourquoi il ne faut pas manquer le passage d’Ateez à Coachella
Mon, 15 Apr 2024 09:07:08 GMT
Le groupe de K-Pop Ateez se produisait au festival de Coachella vendredi 12 avril avant une deuxième date le 19 avril. Une première pour un groupe de K-Pop masculin.
Mvua zinavyoifanya Zingiziwa iwe eneo gumu la kuishi
Fri, 26 Apr 2024 08:43:00 GMT
Kwa mujibu wa watumiaji wa daraja hilo, hali iliyopo sasa ni zaidi ya ile iliyokuwepo jana, huku Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) ikitabiri kuendelea kwa mvua hizo hadi Jumapili ya ...
Manji ana mchezaji mmoja Yanga
Tue, 23 Apr 2024 06:54:00 GMT
MFADHILI na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji amesema kwake staa mkubwa ni mmoja tu kwa sasa. Stephane Aziz Ki. Manji ambaye amewahi kuiongoza timu hiyo kwa mafanikio makubwa ...
Fanya haya utaishi miaka mingi duniani
Mon, 19 Jul 2021 17:00:00 GMT
Jeanne Calment kutoka Ufaransa, ndiye binadamu aliyewahi kuishi miaka mingi zaidi duniani, alifikisha umri wa miaka 122 na siku 164 kwa mujibu wa rekodi za Guinness. Katika imani tofauti ...
Mila: 'Nilibakwa na mjomba kwa miaka mingi kabla ya baba wa kambo'
Sun, 13 Aug 2023 16:59:00 GMT
Msichana huyu mwenye umri wa miaka 13, kama Mila, alipata mimba baada ya kubakwa na baba yake kwa miaka mingi. Hata hivyo, mamlaka ya Peru ilikataa kuruhusu utoaji mimba. Hatimaye binti huyo ...
Nyuma ya pazia Diamond kushuka shoo za kimataifa
Fri, 26 Apr 2024 08:43:00 GMT
Mwimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Diamond Platnumz anaonekana kuzidi kupunguza shoo za kimataifa kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele licha ya kila mara kutangaza thamani yake ...
Jamii asilia, Brazil zashinikiza ardhi yao kutambuliwa
Thu, 25 Apr 2024 20:49:00 GMT
Maelfu ya watu wa jamii za asili nchini Brazil wameandamana jana Alhamisi katika mji mkuu Brasilia wakiitaka serikali kutambua rasmi ardhi waliyoishi kwa miongo mingi.
Migogoro, kupungua kwa uhuru, akili bandia: 'Mfumo wa kimataifa uko karibu kuvunjika', yaonya AI
Wed, 24 Apr 2024 00:39:00 GMT
2023 ni mwaka ambapo kulishuhudia kupungua kwa haki za binadamu, kulingana na ripoti iliyochapishwa leo Jumatano na Amnesty International. Shirika hilo linaonya kuhusu mwaka ambapo migogoro, ...
Mtahabwa: Serikali yafikiria kuifunga shule muda wowote
Tue, 23 Apr 2024 22:47:00 GMT
SERIKALI inafikiria kufunga shule muda wowote kuanzia sasa kutokana na athari za mvua inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Kamishna wa Elimu katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, D ...
Marekani: Bunge la Seneti lapigia kura msaada kwa Ukraine, bilioni moja ya vifaa kutumwa
Wed, 24 Apr 2024 00:07:00 GMT
Baada ya miezi kadhaa ya kizuizi, Bunge la Marekani limepitisha hatua za usalama za kitaifa zilizoombwa na Ikulu ya White House. Bunge la Seneti limeidhinisha rasimu hiyo kwa wingi mkubwa, na ...
Ile ishu ya Onana kuzuiwa kupiga penalti na Benchikha ipo hivi
Thu, 25 Apr 2024 07:09:00 GMT
“Lakini wa tatu ambaye kwetu anaweza kupiga penalti au kuchagua mtu wa kupiga ni nahodha ambaye wakati ule alikuwepo Mohamed Hussein, na unaona kulikuwa na mazungumzo kabla Onana hajachukua mpira, ...