Actualités Nyama
NBA. Victor Wembanyama dans le top 20 des meilleures notes du jeu 2K25
Mon, 26 Aug 2024 17:00:00 GMT
Attendu le 6 septembre prochain, le jeu vidéo « NBA 2K25 » a dévoilé les notes des joueurs dans la célèbre licence de simulation de basket. Avec une note de 84, Victor Wembanyama avait obtenu la ...
“Nyama ya mbuzi inaongeza maumivu magotini”
Tue, 20 Aug 2024 04:38:00 GMT
DAKTARI bingwa bobezi wa nyonga na magoti wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) Dk Antony Assey amesema ulaji wa nyama ya mbuzi unaongeza dalili kwa baadhi ya watu wenye ugonjwa wa maumivu ya m ...
Basket : La grande annonce, Wembanyama va révolutionner la NBA
Sun, 25 Aug 2024 13:34:00 GMT
Victor Wembanyama est déjà une référence en NBA, tant sportive et commerciale après seulement une saison passée dans l’élite du basket américain. Le rookie de l’année est sans contestation possible le ...
Namibia yataka kuchinja au kuua wanyama pori ili kupunguza ukame uliokithiri
Tue, 27 Aug 2024 00:36:00 GMT
Kuna viboko, nyati, impala, nyumbu bluu, pundamilia na hata tembo. Wanyama wanaoishi katika mbuga za wanyama nchini Namibia, lakini nyama zao zinaweza kusambazwa kwa watu walioathirika zaidi na ukame.
Anko Lao... Majibu Konkii
Thu, 22 Aug 2024 02:39:00 GMT
1. ANKO Lao, kijana miaka 23, sina lingine kwako ila kukushukuru kwa ushauri uliowahi kunipa kupitia hapa, kwani kwa sasa nimenunua kiwanja nataka kujenga shule ya chekechea! Ubarikiwe! Chid ...
Bucha zafungwa kwa uchafu, kukosa usajili
Fri, 16 Aug 2024 17:00:00 GMT
Ukaguzi unahusisha kusajili wa bucha, usafi, matumizi sahihi ya vifaa kama misumeno ya umeme na kuangalia afya za wahudumu wa bucha hizo, kwa lengo la kumlinda mtumiaji wa nyama. Dk Talib amewataka ...
Washauriwa kula mboga mboga kuepuka udumavu
Mon, 26 Aug 2024 17:00:00 GMT
Mkurugenzi huyo alisema na kutoa mfano wa Bara la Afrika na kusema kuwa watu wa bara hilo asilimia kubwa wanakula nyama robo na ugali na kufanya mwanadamu kuwa na wanga mwingi mwili na hiyo ni mbaya ...
Simba, Fountain Gate na mwanzo mpya
Sun, 25 Aug 2024 01:55:00 GMT
Historia ya nyuma itazikwa rasmi na leo Simba na Fountain Gate zitaanzisha rasmi ushindani mpya kwenye Ligi Kuu wakati zitakapokutana kwenye Uwanja wa KMC Complex,Mwenge, Dar es Salaam ...
Mashabiki Simba SC waitwa KMC Complex… “Njooni mhesabu”
Sat, 24 Aug 2024 05:22:00 GMT
MASHABIKI wa Simba mzuka umewapanda baada ya kupata uhakika kwamba straika mpya wa timu hiyo, Lionel Ateba leo ataliamsha kwa mara ya kwanza akiwa na uzi wa kikosi hicho kwenye Uwanja wa ...
Mpox: DRC kupokea dozi za kwanza za chanjo wiki ijayo
Mon, 19 Aug 2024 21:43:00 GMT
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inatarajia kupokea dozi za kwanza za chanjo dhidi ya mlipuko wa Homa ya Mpox wiki ijayo katika nchi hii ambapo ugonjwa huo tayari umeua takriban watu 570, Waziri ...
Dodoma kuwa shule ya kilimo, darasa likielimisha wakati wote
Thu, 22 Aug 2024 23:48:00 GMT
WAKULIMA, wafugaji na wavuvi popote walipo wataanza kunufaika na mafunzo, teknolojia za kidijitali na taarifa mbalimbali watakazozichota kutoka kijiji cha kilimo jijini Dodoma. Kijiji cha kilimo kitak ...